PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR. 
 Makamo
 wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akikunjuwa Kitambaa 
ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura 
Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya 
miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. 

 wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitembelea maeneo 
mbali mbali ya Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar 
baada ya kuifungua rasmi ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za 
Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Baadhi
 ya Walimu na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Skuli
 ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar  ikiwa ni miongoni mwa
 shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Wanafunzi
 wa Madrasa ya Kamaria wakileta burudani ya Kasida katika ufunguzi wa 
Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni
 mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Jengo
 la Skuli ya Secondary ya  Faraja lililofunguliwa na Makamo wa Pili wa 
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni 
miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya 
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment