Mbunge
 wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu na mkewe Mariam Mtemvu na Binti yao 
Sitti Mtevu -kushoto, wakiwa katika picha ya pamoja na wageni wao kutoka
 vyuo vikuu viwili vya Marekiani vya State University of New York na 
University  of Buffalo, baada ya kuwasili Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya 
Temeke, Dar es Salaam, jana kuanza ziara yao ya siku mbili katika jimbo 
hilo, kwa ajili ya kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala 
mbalimbali ya kijamii na maendeleo. Kulia ni Mkuu wa Msafara huo 
Mtanzania, Profesa Dan Nyaronga wa Chuo Kikuu cha Buffalo nchini 
Marekani.
 Mtemvu
 akiwa na mdau wa maendeleo katika jimbo loa Temeke, Fiona Barretto 
wakati wa mapokezi ya ugeni huo kwenda wa mkuu wa wilaya ya Temeke
 
 Profesa Dan akizungumza katika ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Temeke, baada
 ya ujumbe huo kukutana na mkuu huyo wa wilaya,  Sophia Mjema, wa pili 
kushoto,
 Mkuu huyo wa wilaya akizungumza 
 Ugeni
 huo kutoka Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao katika
 Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya manispaa ya Temeke jana
 Mkurugenzi
 wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo akisalimiana na 
Binti wa Mtemvu, Siti Mtemvu wakati msafara ulipoingia ofisini kwa 
mkurugenzi huyo jana
 Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja ana viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke
 Wanahisa
 wa Mfuko wa wa Kupambana na Umasikini Temeke -TFP,  wakiulaki ugeni wa 
Mtemvu na Wamarekani hao ulipowasili kwenye Ofisi za TFP jana
Mtemvu akizungumza na wadau wa PFT 
 Profesa Dan Nyaronga akizungumza na wadau wa mfuko huo  wa PFT
 Binti wa Mtemvu Sitti akisalimia wanachama wa mfuko huo
 Mtemvu
 na ugeni wakiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Mfuko wa PFT 
baada ya mazungumzo ya kubadilishana uzoefu wa anamna ya kuondoa 
aumasikini katika jamii
 Mkurugenzi
 wa theNkoromo Blog, Bashir Nkoromo, akiwa na baadhi ya wanafunzi kutoka
 vyuo vikuu hivyo ya Marekani ambao ni miongozi mwa waliokuwa katika 
ugeni huo wa Mtemvu, hapa ilikuwa kwenye ofisi za PFT.
 Mbunge wa Temeke, Mtemvu akipata chakula cha mchana na ugeni wake katika  jengo la Quality Centre








 




No comments:
Post a Comment