Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akikagua gwaride la Chipukizi wa 
UVCCM wakati alipofika katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo Mjini 
Zanzinar  kupokea matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi 
Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na 
Ikulu.] 
Vijana
 wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakiwa wamebeba Bendera
 na Picha za Viongozi wakati wa kilele cha matembezi  ya Umoja wa UVCCM 
yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya
 Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza 
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar 
 leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.] 
Vijana
 wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakiwa katika  
matembezi  ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na 
kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyopokelewa na Rais wa 
Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  
pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarleo katika viwanja vya Mnazi Mmoja 
Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 
Vijana
 wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wa Mkoa wa Kaskazini 
Unguja wakiwa katika  matembezi  ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la 
kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar 
yaliyopokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la 
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar leo
 ambapo kilele chake  katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha
 na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea picha za Viongozi kutoka
 kwa kiongozi wa Matembezi ya UVCCM Daudi Ismail Juma Mjumbe wa 
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia UVCCM wakati wa kilele cha 
Matembezi ya kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi 
Matukufu ya Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini 
Unguja,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Picha ya Mwenyekiti 
wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya 
Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis baada ya kuyapokea
 matembezi ya Vijana wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika 
viwanja wa Mnazi Mmjoa Mjini Unguja katika kuadhimisha miaka 51 ya 
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
 pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akipokea  Bendera kutoka kwa 
Kiongozi wa Matembezi ya UVCCM Daudi Ismail Juma Mjumbe wa Halmashauri 
Kuu ya CCM Taifa (NEC)kupitia UVCCM wakati wa kilele cha Matembezi ya 
kuwaenzi Viongozi na kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya 
Zanzibar leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja,[Picha na 
Ikulu.] 
Vijana
 wa Chipukizi wakipita kwa gwaride la mwendo wa haraka mbele ya mgeni 
rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa  Baraza la Mapinduzi Dk.Ali 
Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibarwakati wa kilele cha matembezi ya Umoja wa UVCCM yenye lengo la kuwaenzi Viongozi na 
kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo katika viwanja vya 
Mnazi mmoja mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 
Viongozi
 wa Chama cha Mapinduzi wakiwepo wa UVCCM wakisimama wakati Makamo 
Mwenyekti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
 Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea matembezi ya Vijana wa Umoja wa
 UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini
 Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya mapinduzi Matukufu ya 
Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akitoa hutuba yake wakati wa 
Kilele cha   matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia  leo 
katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 
51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM 
Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.] 
Baadhi
 ya Vijana wa UVCCM wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa 
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM 
Zanzibar alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa Kilele cha   matembezi 
ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia  leo katika Viwanja vya Mnazi 
Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu 
ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na 
Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Cheti   Makamo 
Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Pili Hassan Suluhu   wakati wa  matembezi 
ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja 
vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi 
Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma 
Khamis,[Picha na Ikulu.] 
/////
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akimkabidhi Cheti Mke wa 
Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman kwa niaba ya Makamo wa Pili wa
 Rais Balozi Seif Ali Idii kwa mchango wake mkubwa kufanikisha  
matembezi ya Vijana wa Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo 
katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 
51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM 
Sadifa Juma Khamis,[Picha na Ikulu.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
pia Makamo Mwenyekti wa CCM Zanzibar akipokea matembezi ya Vijana wa 
Umoja wa UVCCM yaliyofikia kilele chake leo katika Viwanja vya Mnazi 
Mmoja Mjini Unguja ikiwa ni kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu 
ya Zanzibar (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Sadifa Juma Khamis,[Picha na 
Ikulu.]

No comments:
Post a Comment