Waziri
 wa Biashara, Viwanda na Masoko Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na 
waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Tamasha la Biashara 
litakalofunguliwa tarehe 7mwezi huu katika  viwanja vya maisara. 
(kushoto) Naibu Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Bi. Thuwaiba 
Edington Kisasi na (kulia) Mkurugenzi Idara ya Biashara na Ukuzaji 
Biashara Mohamed Jaffar Jumanne.(Picha na Makame-Mshenga Maelezo 
Zanziba). 
 Mwandishi wa Habari wa ITV  Farouk Karim akiuliza swali katika mkutano 
wa waandishi wa Habari ulioitishwa na Waziri wa Biashara, Viwanda na 
Masoko kuhusu Tamasha la Biashara litalofanyika kuanzia tarehe  7 hadi 
13 mwezi huu katika viwanja vya Maisara Mjini Unguja. 
Baadhi
 ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbali wakimsikiliza Waziri wa 
Biashara Viwanda na Masoko katika mkutano wa waandishi wa habari 
uliofanyika Wizara ya Biashara Malindi Zanzibar.
(Picha na Makame-Mshenga Maelezo Zanziba).
No comments:
Post a Comment