Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akifungua pazia ikiwa kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa
 Nyumba za Makaazi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 
Vitongoji Wilaya ya Chake chake Pemba ,ikiwa katika sherehe za shamra
 shamra za miaka 51 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
akitoa hutuba yake wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Nyumba 
za Makaazi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) 
Vitongoji Wilaya ya Chake chake Pemba ,ikiwa katika sherehe za shamra
 shamra za miaka 51 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]  
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed 
Shein akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa Tanzania 
Luteni Jenerali Samuel Albert Ndomba wakati alipofika katika Kambi ya 
Ali Khamis Vitongoji Wilaya ya Chake Cahke Pemba akiwa katika ziara 
maalum kuzindua miradi mbali mbali ya Maendeleo ikiwa ni katika shamra 
shamra za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 
Baadhi
 ya wananchi waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa Jiwe la Msingi 
Ujenzi wa Nyumba za Makaazi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa 
Tanzania ka(JWTZ) katika Kambi ya Ali Khamis Vitongoji Wilaya ya Chake 
chake Pemba,[Picha na Ikulu.]
No comments:
Post a Comment