Msajili
 wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo(Picha na 
Freddy Maro) 
Msajili
 wa Mahakama ya Rufaa Bibi Katarina Tengia Revocati akipokea vitendea 
kazi kutoka kwa  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kula 
kiapo  ikulu jijini Dar es Salaam leo(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment